
KITAWAKA EPL, LALIGA JUMAMOSI YA LEO
Je unajua kuwa ligi pendwa leo kuna mechi za uhakika?, mechi za kukupatia maokoto ya maana. Yaani namanisha kule EPL, LALIGA, SERIE A na kwingineko ni moto mkali sana. Beti sasa hapa. Mapema kabisa leo hii LALIGA kuna mechi kali bingwa mtetezi Real Madrid ambaye wikendi iliyopita hakucheza, leo hii atamenyana dhidi ya CA Osasuna…