
RONALDO NA WENZAKE KULIPA KISASI LEO?, KITAWAKA LALIGA NA BUNDESLIGA
Bahati ni yako endapo utabashiri na Meridianbet mechi zote zinazopigwa leo. Ronaldo na wenzake wataweza kulipa kisasi leo?. Ingia na usuke jamvi lako la ushindi leo. Ligi daraja la kwanza Uingereza yaani CHAMPIONSHIP inakupa pesa leo kwa mchezo wa Luton Town vs West Bromwich majira ya saa 5 usiku ambao hii ni vita kali kwelikweli…