
HII HAPA TIMU NAMBA MOJA KWA KUPATA PENATI BONGO
SIO kuongoza ligi tu ndani ya Bongo bali mpaka kwenye msimamo wa timu namba moja kwa kupata penalti nyingi ni namba moja Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba penati ni adhabu ambayo huwa inatolewa kutokana na mchezaji wa timu moja kufanyiwa faulo ndani ya eneo la 18 na wakati mwingine mchezaji ambaye…