
HASIRA ZA YANGA ZIMEHAMIA HUKU, KAZIKAZI KIMATAIFA
BEKI wa Yanga, Dickson Job amesema kuwa furaha kubwa kupata ushindi dhidi ya Al Hilal inawekwa kando sasa nguvu kubwa ni kuelekea mchezo wao wa kimataifa dhidi ya MC Alger. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic ipo nafasi ya tatu kwenye kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika ni pointi 7 imekusanya inatarajiwa kumenayana na…