
SIMBA YAPIGA HESABU NDEFU KIMATAIFA
MWENYEKITI wa Simba, Murtanza Mangungu amesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa ni kupata matokeo kwenye mechi zijazo hivyo masuala ya kufikiria nani atapata nini kwa sasa iwekwe kando na badala yake nguvu iwe kwenye kupata ushindi. Ikumbukwe kwamba Simba ipo kwenye kundi ambalo lina ushindani mkubwa kwa timu tatu kuwa kwenye ubora katika mechi za…