
HII HAPA RATIBA YA YANGA KIMATAIFA
KUTOKA Ligi Kuu Bara namba 6 kwa ubora Afrika, Yanga inaoeperusha bendera katika Ligi ya Mabingwa Afrika na itakuwa na kete 3 2025 kusaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Ni Januari 4 2025 dhidi ya TP Mazembe, Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni katika mchezo uliopita walipokutana Yanga iligawana pointi moja na miamba…