
SIMBA LICHA YA USHINDI KAZI BADO HAIJAISHA
IKIWA ugenini Januari 5 2025 Simba ilisepa na ushindi wa bao 1-0 na kukomba pointi tatu mazima kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi. Ni Jean Ahoua kiungo wa Simba alifunga bao pekee katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya SC Sfaxine dakika ya 34 akitumia pasi ya Leonel Ateba….