
TIMU YA TAIFA YA TANZANIA YAFUTA UTEJA MBELE YA ETHIOPIA
Timu ya taifa ya Tanzania imefuta uteja mbele ya Ethiopia baada ya kushinda kwa mara ya kwanza kihistoria dhidi ya Wahabeshi hao na kuweka hai matumaini ya kufuzu AFCON 2025. Kwa ushindi huo wa mabao 2-0 Stars imekwea mpaka nafasi ya pili ikifikisha pointi 7 baada ya mechi 5 huku Ethiopia ikiendelea kusalia mkiani pointi…