MASTAA WATANO SIMBA WAKOSA UFUNDI WA MAKI MISRI

ZORAN Maki,Kocha Mkuu wa Simba amekosa kuona ufundi wa majembe matano ya kikosi cha Simba kambini Misri kwa kuwa walikuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars. Ni Kened Juma,Mzamiru Yassin,Kibu Dennis,Aishi Manula na Mohamed Hussein hawataibukia Misri kwa kuwa kikosi hicho kinatarajiwa kurejea kesho kuendelea na maandalizi kuelekea Simba Day,Agosti 8. Kipa…

Read More

YANGA YASHINDA UGENINI, TATIZO LIPO HAPA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga karata yao ya kwanza katika hatua ya pili wameibuka na ushindi ugenini kwenye mchezo wao uliochezwa Ethiopia. Licha ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kwa kushuhudia ubao ukisoma CBE SA ya Ethiopia 0-1 Yanga bado kuna kazi kubwa ambayo benchi la ufundi litakwenda…

Read More

LIVERPOOL BADO WANAJITAFUTA HUKO

LIVERPOOL wamekuwa wakijitafuta kwa muda na sasa wanaonekana kurejea kwenye makali yao hiyo ni baada ya wikiendi iliyopita kutoka nyuma na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Wolves 3-1 ugenini huko Molineux. Msimu uliopita ilikuwa mara ya kwanza kwa Liverpool kushindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo Kocha Mkuu Jurgen Klopp amekuwa kwenye usukani kwa…

Read More

AZAM FC WAJA NA AZAMKA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa msimu huu wanakuja tofatauti katika tamasha lao ambapo litakuwa mikononi mwa mashabiki.  Thabit Zakaria,Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa watakuwa na tamasha maalumu linalokwenda kwa jina la AZAMKA ambalo ni kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wao lakini watakaoandaa mpango kazi ni mashabiki wa Azam FC. Kwa sasa…

Read More

JOASH ONYANGO NDANI YA CHANGAMOTO MPYA

JOASH Onyango beki wa Simba rasmi kwa msimu wa 2023/24 atakuwa kwenye changamoto mpya na timu mpya ndani ya Singida. Nyota huyo mkataba wake na Simba unatarajiwa kumeguka msimu ujao na mabosi wa Simba wamefikia makubaliano ya kumtoa kwa mkopo kuelekea Singida Fountain Gate. Atakuwa ndani ya Singida Fountain Gate kwa mkopo msimu wa 2023/24…

Read More

MWAMBA SAIDO ATAJWA COASTAL UNION

MKALI wa mabao ndani ya kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 Saido Ntibanzokiza anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Coastal Union ya Tanga. Nyota huyo akiwa na kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 ni mabao 11 alifunga akiwa namba moja kwenye chati ya wafungaji wa Simba ambapo kinara ni Aziz Ki wa Yanga mwenye…

Read More

KWA FAIDA YA NANI? MNGUTO AJIUZULU, KASONGO ASIMAMISHWA

Katika mfululizo wa matukio makubwa yanayoikumba Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Steven Mnguto amejiuzulu rasmi nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi, huku Ofisa Mtendaji Mkuu, Almasi Kasongo, akisimamishwa kazi na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia. Taarifa ya Juni 13 iliyotolewa na Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao, imeeleza…

Read More

Black Gold Mchezo wa Kasino Unaomwaga Mihelaa

Mchezo wa kasino unaobamba kwasasa na kumwaga mihelaa ni Black Gold kutoka pale Meridianbet, Cheza mchezo huu leo uweze kua moja ya washindi wapya wanaoiubuka kila siku kupitia mchezo huu wa kasino. Black Gold ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka BetSoft. Kuna aina kadhaa za bonasi katika mchezo huu uliopo Meridianbet. Kuna mizunguko ya bure…

Read More

YANGA:HATUPOI, MWENDO ULEULE

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi raia wa Tunissia amesema kuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa leo Novemba 3, Uwanja wa Mkapa.   Manara amebainisha kwamba kikubwa ambacho wanahitaji ni kuendelea na kasi yao ileile ya kucheza na kushinda…

Read More

MTAMBO WA MABAO YANGA WATUMA SALAMU MSIMBAZI

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga, Maxi Nzengeli amesema kuwa wapo tayari kuelekea mchezo wao wa Karikoo Dabi dhidi ya Simba huku akiwaomba mashabiki wajitokeze kuona burudani. Ndani ya kikosi cha Yanga Nzengeli ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi akiwa kakomba dakika 489. Katupia mabao matano na pasi moja ya…

Read More