SINGIDA BIG STARS KUIKABILI KMC

KIKOSI cha Singida Big Stars leo kina kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya KMC ambao nao wanazihitaji pia. Ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti saa 8:00 mchana huko Singida. Upande wa kiingilio ni 3,000 kwa mzunguko na VIP ni shilingi 5,000 ambazo zitawafanya mashabiki kushuhudia mchezo huo…

Read More

PRINCE DUBE KUIKOSA RUVU SHOOTING

 MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo kati ya Ruvu Shooting v Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mabatini,Pwani. Dube ambaye msimu uliopita wa 2020/21 alikuwa kwenye ubora mkubwa aliweza kutupia mabao 14 msimu huu ameweza kutupia bao moja na pasi moja ya bao. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Azam…

Read More

HAPA NDIPO WANAPOFUNGIA AZAM FC

KLABU ya Azam FC inakwenda kufunga mwaka 2023 wakiwa ni namba moja kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo kikosi cha Azam FC kimekuwa kwenye mwendo wa dhahabu na kupata matokeo kwenye mechi walizokuwa wanacheza. Mchezo wake wa mwisho ndani ya 2023 walikomba pointi tatu ugenini ilikuwa ni Desemba…

Read More

SIMBA YANYOOSHWA NA WAGONGA NYUNDO

UWANJA wa Sokoine, Mbeya City wameinyoosha Simba kwa bao 1-0 lililopachikwa na Paul Nonga mapema kipindi cha kwanza. Haikuwa rahisi kwa Simba kuweza kumtungua kipa namba moja wa Mbeya City, Deogratius Munish ambaye alikuwa kwenye ubora wake mwanzo mwisho. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba kupoteza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu…

Read More

AJIBU YAMEMKUTA SIMBA CHINI YA PABLO

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, hakuweza kumtumia kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwenye mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Bara kutokana na kusumbuliwa na majeraha. Mchezo wake wa kwanza kukaa benchi mbele ya Ruvu Shooting alishuhudia timu yake ikishinda mabao 3-1 ikiwa ni ushindi mkubwa kwa Simba msimu wa 2021/22. Alifanya kazi kwa kushirikiana na…

Read More

KARIBU KWENYE FAMILIA YA KIBINGWA YA MERIDIANBET UFURAHIE SLOTI YA BURSTING HOT 5

Sloti ya Bursting Hot 5 Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea sloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwako sasa! Bursting Hot 5 ni mchezo unaotumia matunda kama zile sloti za kizamani ila imeboreshwa zaidi! Sifa mpya zilizoongezwa zinakuhakikishia ushindi mkubwa zaidi. Namna ya Kucheza Mchezo wa Bursting Hot 5 Ukiingia kwenye sehemu ya…

Read More

NAMNA CAF WALIVYOWEKA ZUIO KOCHA MPYA SIMBA

IMEELEZWA kuwa Rais wa Heshima ya Klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amezuia mipango ya kumleta Kocha Mkuu wa APR ya nchini Rwanda, Mohammed Adil Erradi kutokana kutokidhi vigezo vya Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Erradi ni kati ya makocha waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuja kuchukua nafasi ya Mhispania, Pablo Franco aliyesitishiwa mkataba wa…

Read More

AZIZ KI: SINA MATARAJIO YA KUONDOKA YANGA KWA SASA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI baada ya timu yake kutolewa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns kwa mikwaju ya penalti hatua ya robo fainali, ameandika katika ukurasa wake wa Instagram ujumbe wa kuwashukuru mashabiki kwa kuwa nao pamoja kwenye safari ya michuano hiyo msimu huu 2023/2024. KI ameandika; “Tumeonyesha…

Read More

NBC WATOA FIDIA YA BIMA TABORA

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dk. Batilda Buriani ametoa hundi kwa vyama vya Ushirika (AMCOS) mkoani Tabora ikiwa ni sehemu ya fidia ya hasara ya mazao iliyotokana na kuwepo kwa mvua kubwa katika msimu wa 2021/2022. Fedha hizo zimetolewa kupitia huduma ya Bima ya mazao ya Benki ya NBC ambayo inatoa kinga dhidi ya athari…

Read More

KUPIGANA UWANJANI NI USHAMBA, MUDA WAKE UMEISHA

JUMA lililopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Ihefu FC kuna kipande cha video kilisambaa kikionyesha kundi la mashabiki wa Simba wakimshushia kichapo shabiki aliyefahamika kuwa ni wa Yanga kutokana na rangi ya mavazi yake. Vitendo hivi kuna nyakati vilishamiri na tulipaza sauti vikapotea lakini hivi sasa vinaonekana kurejea tena kwa…

Read More

BOSI SIMBA: MANZOKI NDIYO, BOBOSI HAPANA

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefichua ni kweli kuna mipango inafanyika kumhusu Cesar Lobi Manzoki raia wa DR Congo, lakini akaweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna lolote kati yao na Bobosi Byaluhanga raia wa Uganda. Manzoki na Bobosi wamekuwa kwenye rada za Simba tangu kipindi cha usajili wa dirisha kubwa ambapo…

Read More

WAAMUZI NI PASUA KICHWA,WACHEZAJI PIGENI KAZI

KIVUMBI kinazidi kuwaka kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo kwa msimu huu mpya wa 2021/22 unaoyesha kwamba sio wa kitoto. Wakati ligi ikizidi kuwa ni moto waamuzi wamekuwa ni pasua kichwa kwa kuonekana wakifanya maamuzi ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wengi jambo ambalo linaua ile ladha ya ushindani. Makosa yapo lakini haina maana…

Read More