
YANGA KILA MWAKA KUVUNA BILIONI 4 KUTOKA KAMPUNI YA SPORTPESA TANZANIA
KAMPUNI ya Michezo ya kubashiri ya SportPesa imeingia mkataba wa makubaliano wenye thamani ya Shilingi Bilioni 12.33 na Yanga SC kwa kipindi cha miaka mitatu, baada ya mkataba wa awali wa miaka mitano kufika ukingoni. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya SportPesa, Abbas Tarimba amesema mkataba huo utakuwa wa miaka mitatu wenye thamani ya kiasi…