YANGA HAO ROBO FAINALI

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup Yanga wamekata tiketi kutinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wakiwa ugenini. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma umesoma Dodoma Jiji 0-2 Yanga. Bao la mapema dakika ya tatu kupitia kwa Emmanuel Martin ambaye alijifunga dakika ya 3 na Clement Mzize dakika ya 66 alipachika…

Read More

CR 7 HAUZWI KOCHA MANCHESTER UNITED ATHIBITISHA

KOCHA wa Manchester United raia wa Uholanzi Eric Ten Hag amewaambia Waandishi wa Habari kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hauzwi. Ten Hag ameyasema hayo kufuatia kuwepo kwa tetesi zinazomuhusisha nyota huyo kutimka katika viunga vya Old Trafford kufuatia klabu hiyo kutoshiriki katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya maarufu kama UEFA. “Hajaniambia…

Read More

SIMBA YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA VIPERS

LICHA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Vipers bado lile pira Dubai kwa Simba linasakwa kwa tabu sana na ubutu wa ushambuliaji ukiwa ni shida. Bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi limefungwa na Clatous Chama katika dakika ya 45. Shukrani kwa Aishi Manula kwa kazi…

Read More

CAF YAMALIZA BIASHARA YA BIASHARA UNITED

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika, (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United ya Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli ya Libya. Taarifa iliyotolewa leo Novemba 3,2021 na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa CAF imefikia hatua hiyo kwa kueleza kuwa sababu zilizoifanya timu hiyo…

Read More

BEKI MATATA AREJEA BARCELONA

DANI Alves beki matata mwenye mataji kibao ikiwa ni mafanikio yake makubwa kwa sasa amerejea tena ndani ya Barcelona baada ya kusepa hapo miaka mitano iliyopita ambapo aliibukia ndani ya Juventus na ikigota Januari anaanza kuvaa uzi wa Barcelona.   Ni makubaliano ya kikanuni ambayo Barcelona wamefikia kwa kuamua kumpa dili beki huyo wa makombe…

Read More