
STARS YAANZA KAZI, KITUO KINACHOFUATA KWA MKAPA
CHINI ya Kocha Mkuu Adel Amrouche timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars iliwaduwaza wenyeji wao Niger kwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huo uliochezwa jijini Marrakech, Morocco baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Marrakech Annex One ulisoma Niger 0-1 Tanzania. Bao pekee la ushindi…