YANGA WATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA KISA KICHAPO

BAADA ya wawakilishi wa kimataifa katika Kombe la Shirikisho, Simba kufungwa 3-0 dhidi ya ASEC Mimosas watani zao wa jadi Yanga wametupa jiwe gizani kimyakimya. Kupitia Insta yao waliachia picha ya Djuma Shaban akiwa mwenye kicheko na kuuliza..wawakilishi wa nini..au basi… Haji Manara Ofisa Habari wa Yanga aliweza kudondosha maoni yake kwa kuandika labda wawakilishi…

Read More

CHAMA KALIAMSHA HUKO NDANI YA SIMBA

CLATOUS Chama, mwamba wa Lusaka ameanza kujipata taratibu baada ya kuonyesha ubora uliokosekana kwa muda mrefu ndani ya uwanja. Chini ya Roberto Oliveira, mchezo wa mwisho kufanya umwamba ilikuwa dhidi ya Power Dynamos alipofunga mabao mawili, ubao uliposoma Power Dynamos 2-2 Simba baada ya hapo hakuwa kwenye ubora wake. Ikumbukwe kwamba alikuwa ndani ya Uwanja…

Read More

NABI APIGA HESABU ZA NGAO YA JAMII DHIDI YA SIMBA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kupoteza mchezo wa kimataifa dhidi ya Vipers SC ni njia kwake kuweza kushinda Ngao ya Jamii dhidi ya Simba.  Agosti 6,2022 Yanga ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Vipers ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Simba,Agosti 13, Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo ulikuwa ni wa…

Read More

YANGA WAJA NA HILI KUHUSU MAJEMBE MAPYA

UONGOZI wa Yanga umeweka waz kuwa utafanya maboresho kwenye kikosi hicho kwa umakini kuelekea kwenye dirisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa Desemba. Moja ya nyota wanaotajwa kuwa kwenye hesabu za kuwa ndani ya Yanga ni pamoja na Chvaviro ambaye yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na timu hiyo.

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MLANDEGE FAINALI

 KIKOSI cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza mchezo wa fainali Kombe la Mapinduzi 2024 dhidi ya Mlandege kipo namna hii:- Ayoub Lakred Shomari Kapombe Israel Mwenda Kazi Che Malone Fabrince Ngoma Luis Miquissone Babacar Sarr Moses Phiri Saido Ntibanzokiza Willy Onana Akiba Ally Salim Abel Duchu Kennedy Hamis Karabaka Chasambi Baleke

Read More

TRUCK SUITS ZATOLEWA KWA MABONDIA WANAOENDA SERBIA

Katika juhudi za kukuza na kuhamasisha usawa wa kijinsia katika michezo, Meridianbet imetoa truck suits hii leo kwa wanawake mabondia wanaojiandaa kushiriki michuano ya ngumi huko Serbia. Kampuni hiyo ya michezo ya kubashiri imetoa msaada wa kipekee kwa wanawake hawa kwa kugawa sidiria za lori maalum ambazo zitawasaidia katika safari zao na kuonyesha uungwaji mkono…

Read More

KITUO KINACHOFUATA SIMBA NI MOROGORO

BAADA ya kukamilisha mwendo katika hatua ya makundi na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kituo kinachofuata ni mchezo wa Ligi Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo wao wa mwisho katika hatua ya makundi msimu wa 2023/24 ilikuwa dhidi ya Jwaneng Galaxy hawakuwa na chaguo lolote zaidi ya kushinda. Ushindi wa mabao 6-0…

Read More

AZAM FC YAREJEA CHIMBO

KIKOSI cha Azam FC kinachofundishwa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo kimerejea chimbo kwa maandalizi ya mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. Azam FC inaingia kwenye rekodi ya timu mbili ambazo zimepata ushindi mbele ya Yanga inayofundishwa na Miguel Gamondi katika mechi za ligi. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wamekuwa kwenye mwendo bora…

Read More

KIUNGO MNIGERIA YAMEMKUTA SIMBA

VICTOR Ackpan kiungo wa Simba amepewa mkono wa kwa kheri ndani ya kikosi cha Simba. Kiungo huyo raia wa Nigeria yamemkuta masuala ya ‘Thank You’ kama iliyokuwa kwa Augustino Okra raia wa Ghana. Kiungo huyo aliibuka ndani ya Simba akitokea kikosi cha Coastal Union ya pale Tanga inayotumia Uwanja wa Mkwakwani kwa mechi za nyumbani….

Read More

IHEFU KUIKABILI NAMUNGO LEO UWANJA WA UHURU

BAADA ya kupoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Ruvu Shooting msimu wa 2022/23 kwa kufungwa bao 1-0, Agosti 19,2022 Ihefu ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Namungo FC, Uwanja wa Uhuru. saa 10:00 jioni. Ihefu inanolewa na Kocha Mkuu Zuber Katwila ambaye aliibuka hapo baada ya kubwaga manyanga ndani ya Mtibwa Sugar leo…

Read More