Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe akizungumza ndani ya kipindi cha The Switch ndani ya Wasafi FM amejibu lililohoji ni ipi nafasi yake klabuni hapo na nafasi ya Haji Manara ni ipi?
“Mtendaji Mkuu wa Yanga ndiye mwenye mamlaka wa kuelezea nafasi za watendaji wa Klabu ni Mtendaji mkuu, Andre Mtine, ila mimi bado ni Mkuu wa ldara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga,” — Ally Kamwe