COURTOIS AANZA KUJISHTUKIA KUZOMEWA CHELSEA
NI kama ameanza kujishtukia vile. Thibaut Courtois anatarajiwa kurudi kwenye uwanja wake wa zamani wa Stamford Bridge leo Jumatano katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, na kipa huyo Mbelgiji wa Real Madrid amesema: “Natumaini kwamba (mashabiki Chelsea) hawatanizomea.” Real Madrid itatarajia kulipiza kisasi cha kufungwa katika nusu fainali ya michuano hiyo…