HOFU YATANDA SIMBA KISA MUZIKI WA YANGA
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amesema kuwa kikosi cha Yanga kwa sasa kipo vizuri katika michuano ya ligi kuu jambo ambalo ni hatari kuelekea katika mchezo wa dabi dhidi ya Simba. Yanga kwa sasa wanaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 13 dhidi ya Simba wanaoshika nafasi ya pili lakini wakiwa mbele kwa…