
HASSAN DILUNGA APEWA TUZO YAKE HUKO MSIMBAZI
HASSAN Dilunga kiungo wa wa Wekundu wa Msimbazi, Simba amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Oktoba inayodhaminiwa na Emirates Aluminium ACP kwa kuwashinda Sadio Kanoute na Rally Bwalya aliokuwa nao fainali. Kwa mwezi Oktoba, Dilunga amekuwa ni chaguo la kwanza kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na alianza pia kwenye mchezo walionyooshwa…