
UTAZAME UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
Nabi:Tulienj, Yanga bado haijachanganya, atangaza hali ya hatari ligi kuu, kuhusu ubingwa ni suala la muda, Simba haitaki mazoea yaichapa Namungo kibishi.
Nabi:Tulienj, Yanga bado haijachanganya, atangaza hali ya hatari ligi kuu, kuhusu ubingwa ni suala la muda, Simba haitaki mazoea yaichapa Namungo kibishi.
MEDDIE Kagere amepachika bao la ushindi mbele ya Namungo FC dakika 90+4 kwa pasi ya Mohamed Hussein. Bao hilo lilikuwa ni la jasho kubwa kwa kuwa Namungo walikuwa wakipambana kusaka bao kama ambavyo ilikuwa kwa Simba ambao nao walikuwa wakifanya hivyo ila mikono ya kipa Jonathan Nahimana ilikuwa kwenye ubora katika kuoka hatari. Ni…
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika, (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United ya Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli ya Libya. Taarifa iliyotolewa leo Novemba 3,2021 na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa CAF imefikia hatua hiyo kwa kueleza kuwa sababu zilizoifanya timu hiyo…
KOCHA Mkuu wa Simba, Raia wa Rwanda, Thierry Hitimana amefunguka mambo matatu yanayosababishawashindwe kufanya vizuri tangu kuanza kwa msimu huu. Hitimana amefichua mambo hayo kufuatia Simba kucheza mechi nne katika Ligi Kuu Bara ambapo imefanikiwakushinda mechi mbili na kutoka sare mechi mbili huku ikiwa ya katika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligikuu ikiwa pointi nane. “Tuna mambo matatu ambayo tunapitia lakini jambo la kwanza presha imekuwa kubwa ingawa ni kawaida katika soka lakini kwetu imekuwa kubwa kwa sababu…
FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa hesabu zake kubwa ni kuona kwamba anaweza kufunga mabao kuanzia 20 jambo ambalo litaipa timu hiyo mafanikio. Kwa sasa mshambuliaji huyo ametupia mabao mawili kwenye ligi aliwafunga KMC na Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mayele amesema kuwa anafurahi kufunga na anatarajia kufunga mabao mengi zaidi…
MARA baada ya kipyenga cha mwisho cha kumaliza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union uliochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, baadhi ya viongozi wa Simba walivamia vyumbani na kufanya kikao kizito na wachezaji wao. Mchezo huo ambao ulimalizika kwa suluhu, matokeo hayo hayakuwafurahisha mashabiki, wachezaji, wala viongozi hao, jambo lililolazimika kikao kizito kufanyika fasta.Hiyo ni suluhu ya pili kwa Simba msimu huu ndani ya Ligi Kuu…
CRISTIANO Ronaldo nyota wa Manchester United mbele ya mashabiki 14,443 katika Uwanja wa Gewiss aliibuka kuwa mchezaji bora wa mchezo huo jambo linalomaanisha kwamba hana jambo dogo. Kwenye sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Atalanta, Ronaldo alipachika mabao mawili dakika ya 45 na 90. Mabao ya Atalanta yalipachikwa na Josip Ilicic dakika ya…
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Barcelona, Sergio Arguero atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu ikiaminika kuwa ni kutokana na kusumbuliwa na tatizo la moyo. Nyota huyo ambaye ameibuka ndani ya kikosi hicho kinachoshoshiriki La Liga akitokea Klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu England alipata tatizo hilo Oktoba 30 wakati timu hiyo…
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 ushindi wa mabao 3-1 walioupata Yanga mbele ya Ruvu Shooting unawafanya wazidi kujikita ndani ya kwanza. Ni mabingwa mara 27 wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanasema kuwa juu kuna baridi kali hivyo wapewe masweta na majaketi wakati Mbeya Kwanza ikiwa nafasi ya 6 na pointi zake ni…
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina usiku wa kuamkia leo Novemba 3 kilisepa na pointi tatu mazima mbele ya Geita Gold. Ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 1-0 Geita Gold. Bao la ushindi lilipachikwa na mshambuliaji…
KIGOGO Simba akubali muziki wa Yanga,kocha wa pasi anakuja Simba ndani ya Championi Jumatano.
KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Novemba 2,2021. Alikuwa ni Shaban Msala alipachika bao kwa Ruvu Shooting dakika ya 8, kwa shuti kali akiwa nje ya 18 lililompoteza mazima kipa namba moja Djigui Diarra. Kipa Mohamed Makaka aliweza kuwa imara…
WAKATI majina mbalimbali ya makocha yakihusishwa kwenda kurithi nafasi ya Didier Gomes ndani ya Simba, mwenyekiti wa klabu hiyo, Murtaza Mangungu ametaja sifa za kocha wanayemtaka. Mangungu alisema kwa kipindi ambacho wanapitia hivi sasa, wanahitaji kocha ambaye atakuwa tayari kukubaliana na changamoto na kubadili upepo kwa haraka ndani ya timu hiyo. Mangungu aliongeza kuwa, Simba ni kubwa na imepokea maombi na CV za makocha wenye majina makubwa na…
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa kwenye benchi yumo nyota mzawa David Bryson ambaye alikuwa nje kutokana na kusumbuliwa na majeraha. Hili hapa jeshi kamili la Yanga ambalo litaanza:- Diarra Djigui Kibwana Shomari Shaban Djuma Dickson Job Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Mukoko Tonombe Jesus Moloko Yacouba Songne Feisal…
BREAKING:Antonio Conte amerejea ndani ya Ligi Kuu England na atakuwa ni Kocha Mkuu wa Klabu ya Tottenham Hotspur inayoshiriki ligi hiyo pendwa duniani. Conte anachukua mikoba ya Nuno Espirito ambaye alichimbishwa katika kikosi hicho jana Novemba kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kufikia malengo ya timu hiyo. Mazungumzo…
MAMBO yanazidi kuwa magumu kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kutokana na kuanza kwa mwendo wa kusuasa msimu wa 2021/22 jambo ambalo linapoteza tabasamu kwa mashabiki wa timu hiyo. Ikiwa ipo kwenye maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo, kesho Novemba 4, Uwanja wa Mkapa kuna orodha ya…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi raia wa Tunissia amesema kuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa leo Novemba 3, Uwanja wa Mkapa. Manara amebainisha kwamba kikubwa ambacho wanahitaji ni kuendelea na kasi yao ileile ya kucheza na kushinda…