
SIMBA INAHITAJI WASHAMBULIAJI WA KAZI, KOCHA ATUMA UJUMBE
PENGINE mbinu ya kuanza bila ya mshambuliaji halisi kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly ilitokana na washambuliaji waliopo ikiwa ni Michael Fred na Pa Jobe kushindwa kufikia matakwa ya Kocha. Kocha huyo wakati anaanza majukumu ndani ya Simba aliweka wazi kuwa hakuna mwenye uhakika namba kikosi cha kwanza ndio maana kuna nyakati Clatous Chama mbali…