
BRIGHTON WAWAPIGA WASHIKA BUNDUKI
BRIGHTON hawana kazi ndogo palepale wakiwa ugenini wamemtungua Arsenal na kusepa na pointi tatu mazima mbele ya washika bunduki. Ni Julio Enciso dakika ya 51, Deniz Undav dakika ya 86 na Pervis Estupinan dakika ya 90+6 alitupia kambani. Ilikuwa Uwanja wa Emirates wakati kazi hiyo ikipigwa ñdani ya dakika 90. Arsenal inabakiwa na pointi 81…