
NSUE ANAPIGA HESABU ZA UFUNGAJI BORA AFCON
MSHAMBULIAJI wa Equatorial Guinea, Emilio Nsue ametamba kuwa sasa anatamani kuwa mfungaji bora wa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) ikiwa ni baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’ katika mchezo wao dhidi ya Guinea Bissau. Nsue Alhamisi aliweka rekodi ya kipekee katika mashindano ya AFCON yanayoendelea nchini Ivory Coast baada ya kufunga mabao…