
ISHU YA KIPA MPYA YANGA MENGINE YAIBUKA
WAKATI Yanga ikitajwa kwamba imemalizana na kipa namba moja wa Mtibwa Sugar, Aboutwalib Msheri kujiunga na Yanga, mabosi wa Mtibwa Sugar wameweka wazi kuwa badO mchezaj huyo ni mali yao na hawajamuuza. Hapo awali, Yanga ilizungumza na Msheri na Mtibwa kuhusu kumvuta mitaa ya Jangwani lakini Mtibwa waliweka ngumu wakidai kuwa bado wanamuhitaji kipa huyo…