SIMBA KUIKABILI NAMUNGO WAKIWA NA HOFU

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo Mei 3 wana kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo huku wakiwa na hofu kuhusu mchezo wa leo. Mchezo huo ni wa ligi ikiwa ni mzunguko wa pili ambapo wababe hao wanatarajiwa kuwa kwenye msako wa pointi tatu kama itakavyokuwa kwa Namungo. Ikumbukwe kwamba mchezo…

Read More

KAZI YA JOB MBELE YA COASTAL UNION ILIKUWA PEVU

DICKSON Job beki wa Yanga ni mtu wa kazi ambapo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union wakati Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa aliweza kuwa kwenye ubora. Jumla alipiga pasi 80 na katika pasi hizo alizotoa ni moja pekee iliweza kupotea kwa kutofika mahali ambapo alikuwa anahitaji ifike. Katika pasi hizo mguu ambao anapenda kuutumia…

Read More

KIBU D ALIYEYUSHA MWAKA BILA KUFUNGA BONGO

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis ambaye ni maarufu kwa jina la mkandaji alipitisha mwaka mzima bila kufunga ndani ya ligi kwenye mechi za ushindani ambapo mara ya mwisho alifanya hivyo msimu wa 2023/24 jambo ambalo lilikuwa ni gumzo kubwa. Ikumbukwe kwamba nyota huyo ambaye ni chaguo la kwanza katika kikosi cha Simba kinachonolewa na…

Read More

TIMU ZILIZOPO HATUA YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

SHIRIKISHO la mpira barani Afrika limetangaza kuwa litapanga hivi karibuni siku maalumu kwaajili ya kupangwa kwa tarehe maalum ya kufanyika droo ya kupata timu ambazo zitafanikiwa kukutana kwenye robo fainali. Tanzania imefanikiwa kuingiza timu mbili ambazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali. Timu nyingine ni pamoja na Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Esparence Tunis ya…

Read More

WIKI YA MWANANCHI NI SEPTEMBA 12 2025

Yanga SC imeitangaza siku ya Ijumaa ya Septemba 12 2025 kuwa siku rasmi ya kilele cha wiki ya Wananchi. Hii ni siku maalum ambayo hutumiwa kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na kikosi kipya mbele ya mashabiki.  Pamoja na utambulisho huo matukio kama burudani za muziki na mechi kali ya soka hunogesha. Hili ni miongoni mwa…

Read More

ARSENAL NI MOTO KWELIKWELI

KASI ya Arsenal kwenye Ligi Kuu England ni moto baada ya kupindua meza kwenye mchezo dhidi ya Manchester United wakiwa nyumbani. Ubao wa Uwanja wa Emirates umesoma Arsenal 3-2 Manchester United ambao walipigiwa mpira mkubwa wakiwa ugenini. Ni Marcus Rashford alianza kufunga dakika ya 17 na lile la pili kwa United lilifungwa na Lisandro Martinez…

Read More

NYOTA YANGA NJE MIEZI MITATU

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi watakosa huduma ya kiungo wao wa kazi Farid Mussa. Ikumbukwe kwamba Yanga ilitwaa taji hilo la ligi msimu wa 2023/24 na ilimaliza ligi ikiwa namba moja na pointi 80 kibindoni baada ya kucheza mechi 30 za ligi. Ni Farid Mussa atalazimika kuwa…

Read More

SIMBA NA HESABU ZAO HIVI

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kufanya vizuri kwenye mechi zote ambazo watacheza. Kwa sasa Simba inashiriki Kombe la Mapinduzi ambapo imetinga hatua ya robo fainali ikivunja rekodi yake mbovu ya kukwama kufika katika hatua hiyo 2023. Ni mchezo dhidi ya Jamhuri itakuwa…

Read More