CHAMA NDANI YA SIMBA DUBAI

CLATOUS Chama mwamba wa Lusaka amejiunga na kikosi cha Simba kambini Dubai leo Januari 11,2023. Kiungo huyo hakuwa na timu hiyo kwenye msafara wa awali kutoka Dar kwenda Dubai kwa kuwa alikuwa nyumbani kwao Zambia. Timu hiyo ipo chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera raia wa Brazil ambaye anashirikiana na Juma Mgunda ambaye ni mzawa….

Read More

KOCHA WA AL AHLY ACHAGUA KUPUMZIKA

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini amesema baada ya kutumika akiwa kocha kwa miaka 21, sasa ameamua kupumzika ili kufanya mambo mengine nje ya ukocha. Pitso amesema hayo leo , Agosti 5, 2022 wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam baada ya kukaribishwa na Klabu ya…

Read More

KIBAYA NI MALI YA IHEFU FC

JAFARY Kibaya nyota aliyekuwa anakipiga ndani ya Mtibwa Sugar sasa ni mali ya Ihefu FC ya Mbeya baada ya kutambulishwa jana Julai 22,2022. Nyota huyo anakuwa miongoni mwa nyota wa mwanzo kutangazwa kwenye timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu,Zuber Katwila. Kibaya amesema:”Ni muda wa kutoa shukran zangu za dhati kwenu hakika mlinilea na kunikuza vizuri…

Read More

CHANGAMKIA MILIONI TASLIMU KWENYE SHINDANO LA EXPANSE NA MERIDIANBET

Kupitia Shindano la Expanse linaloendelea ambalo linahuisha michezo ya kasino linatoa fursa ya kushinda kiasi cha shilingi milioni moja taslimu kwa kucheza michezo ya kasino,Limebakiza siku nne pekee mshindi apatikane shiriki sasa uweze kuibuka na mkwanja wako. Meridianbet kwa mara nyingine tena wanakuletea shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi…

Read More

MWENYE ZALI NA YANGA SC NI MABAO MANNE KAFUNGA

SIMBA SC haijawa na bahati mbele ya Yanga SC kwenye mechi za Kariakoo Dabi. Msimu wa 2024/25 haujawa bora kwao wakifungwa nje ndani ya mtani katika mechi za ligi. Rekodi zinaonyesha kuwa katika mechi ambazo wamekutana mkali wakucheka na nyavu ni Aziz Ki kwenye misimu mitano ya hivi karibuni kuanzia 2020/21. Ki kafunga jumla ya…

Read More

HIVI NDIVYO SIMBA WATAIKABILI TABORA UNITED

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids wamebainisha kuwa mchezo wao dhidi ya Tabora United hautakuwa mwepesi ila wamejipanga kuwakabili kwa  mbinu uwanjani kwa kujituma mwanzo mwisho ndani ya uwanja. Simba ni namba moja kwenye msimamo wa ligi namba nne kwa ubora ni pointi 40 zipo kibindoni baada ya…

Read More

MZAMBIA HUYU AINGIA ANGA ZA SIMBA NA YANGA

  MOSES Phiri, mshambuliaji wa Zanaco FC ya Zambia anatajwa kuzichonganisha timu kongwe Bongo, Simba na Yanga ambazo zote zinatajwa kuisaka saini yake. Nyota huyo anatajwa kwamba amezungumza na mabosi wa Simba ambao wanahitaji huduma yake ila kabla hajamwaga wino na Yanga nao wanatajwa kubisha hodi. Mambo yamebadilika kwa sasa na ushindani wa kuisaka saini…

Read More

SIMBA KUCHEZA MECHI TATU ZA KIRAFIKI MISRI

WAKIWA kwenye maandalizi ya msimu wa 2022/23 washindi namba mbili kwenye Ligi Kuu Bara,Simba wameweka wazi kuwa wanatarajiwa kucheza mechi tatu za kirafiki. Kwenye msimamo Simba ilimaliza ikiwa nafasi ya pili na pointi 61 baada ya kucheza mechi 30 za ligi. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema…

Read More

SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE MAPINDUZI CUP

BAADA ya kupoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2023 mbele ya Kocha wa mpira, Roberto Oliviera kikosi cha Simba kina kazi nyingine ya kusaka ushindi kesho, Uwanja wa Amaan. Simba imevuliwa ubingwa kwa kutunguliwa bao 1-0 dhidi ya Mlandege kutokana na makosa ya safu ya ulinzi pamoja na ile ya ushambuliaji. Mpango mzuri…

Read More

KIUNGO SERGIO GOMEZ NI MALI YA CITY

SERGIO Gomez ambaye ni kiungo amesaini dili la miaka minne kuweza kuitumikia Klabu ya Manchester City. City ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu England wameinasa saini ya nyota huyo ili aweze kupata changamoto mpya ndani ya Ligi Kuu England. Nyota huyo mwenye miaka 21 amesajiliwa kwa dau la pauni milioni 11 akitokea Klabu ya Anderlecht…

Read More

SIMBA WAPO TAYARI KWA AJILI YA MCHEZO DHIDI YA YANGA

AHMED Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari ndani ya Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Yanga. Aprili 30,2022  Simba itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kiungo huyo amesema kuwa wanatambua mchezo utakuwa na ushindani mkubwa lakini wanaamini itakuwa kazi…

Read More

BENZEMA APIGWA FAINI NA HUKUMU

MSHAMBULIAJI Real Madrid, Karim Benzema amepatikana na hatia katika kosa la kumtishia mchezaji mwenzake wa zamani kwenye timu ya taifa ya Ufaransa Mathieu Valbuena. Inaelezwa kuwa Benzema aliweza kumuingiza kwenye mtego mchezaji huyo kuhusu masuala ya video ya udhalilishaji jambo ambalo lilimfanya aweze kuripoti Polisi. Kwa kosa hilo Benzema atatumikia kifungo cha mwaka mmoja baada…

Read More

SIMBA MIKONONI MWA MABINGWA CAF

WAKIWA na hesabu za kuvaana na Ihefu kesho mchezo wa Khatua ya robo fainali Azam Sports Fedration wameshatambua kigongo watakachokutana nacho kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni Wydad Athletic Club hawa watamenyana na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Baada ya droo kuchezwa nchini Misri tayari Simba…

Read More

SIMBA WANAPAMBANIA HALI YAO KWA SASA

MSIMU wa 2023/24 unaingia kwenye orodha ya msimu ambao Simba inapitia magumu kutokana na mwendo wake kutokuwa bora ndani ya uwanja katika mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. Kwa upande wa  rekodi kwa timu na namba binafsi kwa wachezaji wanaotimiza majukumu kikosi cha Simba kwa hivi karibuni haujawa kwenye ubora ambao ulikuwa unatarajiwa…

Read More