MORRISON NDANI YA SIMBA NI 500

KIUNGO wa Simba, Bernard Morrison kwa msimu wa 2021/22 ndani ya kikosi cha Simba ameyeyusha dakika 500 katika mechi za Ligi Kuu Bara. Simba ikiwa imecheza jumla ya mechi 15 ambazo ni dakika 1,350 alikosekana katika dakika 850 uwanjani. Kabla ya kusimamishwa kutokana na kile kilichoelezwa kwamba ni utovu wa nidhamu mechi yake ya mwisho…

Read More

MERIDIANBET YATOA MSAADA ZAHANATI MWENGE

Kampuni ya Meridianbet awamu hii wamefika mwenge jijini Dar-es-salaam katika Zahanati ya Mlalakua na kufanikiwa kutoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka katika Zahanati hiyo. Kurudisha kwenye jamii yake iliyowazunguka ni kawaida kwa Meridianbet na leo wamegeukia moja ya Zahanati zinazopatikana katika eneo la Mwenge inayofahamika kama Mlalakuwa wakitoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka…

Read More

YANGA WAJA NA HILI KUHUSU MAJEMBE MAPYA

UONGOZI wa Yanga umeweka waz kuwa utafanya maboresho kwenye kikosi hicho kwa umakini kuelekea kwenye dirisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa Desemba. Moja ya nyota wanaotajwa kuwa kwenye hesabu za kuwa ndani ya Yanga ni pamoja na Chvaviro ambaye yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na timu hiyo.

Read More

BOSI YANGA AFUNGUKA WALIVYOMNASA SURE BOY

RASMI Azam FC imekubali kumuachia kiungo wake, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na sasa yupo huru kujiunga na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu kiungo huyo awasilishe ombi la kuvunja mkataba huo mara baada ya kusimamishwa na viongozi wa Azam. Sure Boy alisimamishwa pamoja na wachezaji wenzake wawili, Mudathiri…

Read More

MWENDA AMEANZA MCHEZO WA KWANZA YANGA

BEKI Israel Mwenda wa Yanga ameanza kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Bara akiwa na uzi wa Yanga baada ya kuibuka hali akitokea Singida Black Stars. Djigui Diarra, Kibwana Shomari, Boka, Dickson Job ni nahodha wa kikosi cha kwanza akiwa ni beki kiongozi. Bacca, Khalid Aucho, Israel Mwenda, Mudathir…

Read More

AZAM YARIDHIA MAOMBI YA DUBE KUVUNJA MKATABA

Klabu ya Azam FC imeridhia maombi ya mshambuliaji wake Prince Dube ya kuvunja mkataba wake na klabu hiyo ambayo aliyatoa mnamo mwezi Machi. Taarifa ya Wanalambalamba hao imebainisha kuwa hatua hiyo imekuja baada ya mchezaji huyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoainishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.

Read More

Shaktar Donetsk Yahofia Kumpoteza Mtanzania Yamuweka Benchi

Ni miezi miwili sasa tangu Shaktar Donetsk ya Ukraine kufanya mabadiliko kwenye benchi lao la ufundi kwa kumfukuza mwalimu Patrick Van Leeuwen na mikoba yake kupewa Marino Pusic (52) kukinoa kikosi hicho mpaka mwaka 2025-2026.   Tangu kufanyika kwa mabadiliko ya benchi la ufundi kijana wa Kitanzania ambaye alifanya vizuri sana kwenye michezo kadhaa aliyopewa…

Read More

SIMBA WAREJEA KUAANZA NA MBEYA CITY KWA MKAPA

“TUMEREJEA kutoka kambi ambayo imekuwa na manufaa makubwa na kazi inaendelea kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika,” maneno ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba, Ahmed Ally. Leo Januari 17,2023 kikosi hicho kimerejea kutoka Dubai ambapo kiliweka kambi kwa muda chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera…

Read More

MCAMEROON KUCHUKUA MIKOBA YA LWANGA SIMBA

WAKATI wakijua kuwa wataachana na kiungo wao mkabaji, Taddeo Lwanga, uongozi wa Simba upo kwenye mawindo makali ya kumchukua kiungo Cedric Zemba Ekong raia wa Cameroon ili azibe pengo hilo. Simba wanataka kuliboresha eneo lao la ukabaji ambapo Ekong anayeitumikia Apejes FC ya kwao akifanywa kuwa chaguo namba moja. Kikosi hicho kwa msimu huu kimekuwa…

Read More

KIKOSI CHA PRISONS DHIDI YA YANGA

 HIKI hapa kikosi cha Tanzania Prisons kinachotarajiwa kuanza kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa:- Hussein Abel Ezekiel Mwashilindi Ibrahim Abraham Jumnne Elifadhili Yusuph Mlipili Omary Omary Salum Kimenya Ismail Mgunda Jermeia Juma Oscar Paul Edwin Balua

Read More

MOROCCO WAPETA, UBELGIJI MAJANGA

MWAMBA Hakim Ziyech nyota wa timu ya taifa ya Morocco alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo wakati timu hiyo ikiibamiza mabao 2-1 timu ya taifa ya Canada. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Al Thumama mbele ya mashabiki 43,102 Canada walifungashiwa virago mazima wakigotea nafasi ya nne. Bao ambalo walilipata ilikuwa ni kupitia kwa nyota Nayef…

Read More