
MUGALU NA BOCCO WATOA GUNDU SIKU YA 193
JANUARI 28 mastaa wawili wa Simba ambao ni washambuliaji, John Bocco na Chris Mugalu walitoa gundu ya kutofunga kwa muda mrefu kwenye ligi kwa kuweza kufunga kwenye mazoezi. Ilikuwa ni siku yao ya 193 ya kuweza kucheza bila kufunga baada ya kuweza kutupia mara ya mwisho Julai 18,2021 katika mchezo wa ligi dhidi ya Namungo…