
PRISONS KUJIPANGA UPYA
BAADA ya jana kupoteza mbele ya Simba kwa kufungwa bao 1-0 na kuyeyusha pointi tatu muhimu, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons amesema kuwa watajipanga upya. Kazumba Shaban amebainisha kwamba mpango wao ulikuwa ni kupata pointi tatu ila walipoteza mchezo huo kwa bao la penalti. “Hesbu zetu ilikuwa ni kushinda mchezo wetu mbele ya Simba lakini…