
KILICHOPANDWA KIMEVUNWA KOMBE LA SHIRIKISHO
MATUKIO ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mechi uwanjani yapo yanayokera na yanayofurahisha lakini muhimu kila mmoja kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake. Tumeona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa nah ii inatokana na hasira lakini kwa namna yoyote ile ni lazima kila mchezaji kuwa mlinzi wa mchezaji mwenzake. Kwa timu ambayo itakosa kupata matokeo…