
ARTETA AKASIRISHWA KUTOLEWA KOMBE LA FA
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa ni maumivu makubwa wameyapata baada ya kupoteza mbele ya Nottm Forest na kutolewa kwenye Kombe la FA. Katika mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la FA ubao wa Uwanja wa City Ground ulisoma Nottm Forest 1-0 Arsenal. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Lewis Grabban dakika…