AZAM FC:TUTAFUNGA MPAKA SHULE,YANGA TUMEWAFUNGA SANA

ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC a,ewela wazi kuwa baada ya kuifunga Yanga sasa wanaamini kwamba watafunga mpaka shule hadi Ramadhan. Kwenye mchezo wa nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Amman, Azam FC iliwaondoa Yanga ambao walikuwa ni mabingwa watetezi kwa penalti 9-8 baada ya dakika 90 kutoshana nguvu bila kufungana. Sasa leo Januari 13,…

Read More

MHESA ATAMBULISHWA MTIBWA SUGAR

NYOTA Ismail Mhesa rasmi ametambulishwa ndani ya Mtibwa Sugar kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara. Januari 12,2022 alitambulishwa katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Salum Mayanga ambaye alikuwa akikinoa kikosi cha Tanzania Prisons. Mhesa alikuwa ndani ya Mtibwa Sugar msimu wa 2020/21 lakini msimi wa 2021/22 hakuanza maisha ya soka…

Read More

ISHU YA CHAMA KUIBUKIA SIMBA IPO HIVI

IMEELEZWA kuwa Clatous Chama na Simba tayari wamemalizana kila kitu kuhusu usajili wake na kilichobaki ni kutambulishwa. Chama kwa sasa ni mali ya RS Berkane ambapo aliibuka huko msimu wa 2021/22 akitokea Klabu ya Simba. Moja ya usajili ambao umekuwa na mvutano mkubwa ni wa Chama kwa kuwa wakati Simba wakipambana kuinasa saini yake na…

Read More

SALAH ATAJA HATMA YAKE LIVERPOOL

MOHAMED Salah mshambuliaji namba moja kwa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu England akiwa ametupia mabao 16 amesema kuwa hatma yake kubaki ndani ya kikosi cha Liverpool ipo mikononi mwa bodi ya klabu hiyo. Suala la Salah kusaini mkataba mpya ndani ya Liverpool limekuwa likizungumzwa tangu mwaka jana 2021 ila mpaka sasa hakuna muafaka…

Read More

MWAMUZI HUYU AFCON ALITIBUA KWELI MAMBO

MWAMUZI kutoka nchini, Zambia Janny Sikazwe amezua gumzo kwenye michuano ya AFCON inayoendelea kutimua vumbi huko Cameroon wakati wa mchezo wa kundi F kati ya Tunisia na Mali uliomalizika kwa Mali kuibuka na ushindi wa 1-0. Maamuzi ya utata yaliyotolewa na refa huyo katika mchezo huo yamezua mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii na kuzua…

Read More

AZAM FC YATAMBA KUIFUNGA SIMBA FAINALI

BAADA ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa penalti 9-8 dhidi ya Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi, uongozi wa Azam umetamba kuwa utaibuka na ushindi kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Simba na kuandika rekodi mpya kwenye michuano hiyo. Hii inakuwa ni mara ya sita Azam kucheza fainali ya Kombe la Mapinduzi ambapo wamekuwa na rekodi nzuri katika michuano hii, wakifanikiwa kushinda fainali tano zilizopita. Kwenye historia ya michuano hiyo Azam na Simba zimefanikiwa kukutana katika fainali tatu…

Read More

SIMBA YALIPIGIA HESABU KOMBE LA YANGA

OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, kuelekea fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Azam FC. inayotarajiwa kupigwa Kesho Januari 13 Uwanja wa Amaan lengo lao namba moja ni kuweza kusepa na kombe hilo ambalo lilikuwa mikononi mwa Yanga. Ni Yanga walikuwa wanatetea Kombe la Mapinduzi walitolewa na Azam FC kwenye mchezo wa…

Read More

KESHO NI FAINALI YA KISASI

HII ni fainali ya kisasi ikiwa kutanisha Simba dhidi ya Azam, katika mchezo utakaopigwa kesho Alhamisi kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Ni fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa msimu wa 16. Azam imebeba ubingwa huo mara tano, huku Simba ikibeba mara tatu. Timu hizi zinakwenda kukutana katika fainali ya nne kwenye michuano hii, baada ya mara tatu zote Azam FC kuibuka na ushindi Fainali ya kisasi mwaka 2012, 2017 na 2019 ambayo ilikuwa mara…

Read More

FAINALI YA MAPINDUZI UBABE TUPA KULE

HONGERA Kwa timu ambazo zimeweza kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi na kesho wanatarajiwa kuweza kucheza na kumpata mshindi. Ipo wazi kwamba kila timu inahitaji ushindi na ambaye atajipanga ana nafasi kubwa ya kuweza kutwaa Kombe la Mapinduzi ambalo ni heshima na litawafanya mashabiki aweze kufurahi. Mabingwa watetezi wao wamefungashiwa virago ambao ni…

Read More

JEMBE HILI SIMBA KUPEWA MKATABA

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, muda wowote atawaambia mabosi wa timu hiyo wampe mkataba kiungo mkabaji Mnigeria, Udoh Etop David. Mingeria huyo yupo Unguja, Zanzibar akiendelea na majaribio ya timu hiyo iliyopo katika michuano ya Kombe la Kagame. Wachezaji wengine waliopo katika majaribio hayo ni Muivory Coast, Chekhi Moukoro na Msudan,…

Read More

MABEKI WA YANGA WAELEKEA TUNISSIA

ABDALAH Shaibu beki wa kati wa Yanga ameelekea Tunissia kwa ajili ya matibabu zaidi ya maumivu ya goti ambayo alikuwa nayo kwa muda mrefu. Kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ametumia dakika mbili pekee ilikuwa mbele ya Kagera Sugar na alianzia benchi wakati Yanga ikishinda bao 1-0 lililofungwa na Feisal Salum. Pia nyota mwingine ni…

Read More

SIMBA YABADILISHA RATIBA YA LIGI KUU

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko machache kwenye ratiba ya Ligi Na ya NBC yakiathiri tarehe za michezo 12, muda wa kuanza kwa michezo sita na kuipangia tarehe michezo mitatu ambayo haikuwa na tarehe kwenye ratiba ya awali pamoja na rmchezo wa kiporo kati ya Kagera Sugar na Simba SC. Mabadiliko hayo yamelenga…

Read More

ISHU YA PHIRI KUIBUKIA YANGA IPO HIVI

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela amefunguka kuwa suala la mshambuliaji wa Zanaco, Moses Phiri kujiunga na timu hiyo kwa kusema ni suala la muda kwa kuwa linashughulikiwa kwa weledi mzuri. Yanga inapambana kunasa saini ya mshambuliaji huyo aliyefunga mabao 17 msimu uliopita katika Ligi Kuu ya Zambia. Habari zinaeleza kuwa Yanga ipo kwenye mazungumzo na mshambuliaji huyo ili kuweza kumuongeza…

Read More