
VIDEO:ALIYESEPA NA LAKI TANO MBELE YA SIMBA ATAJA KILICHOWABEBA
KWENYE mchezo wa Kombe la Mapinduzi kati ya Simba v Mlandenge ambapo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Amaan, Januari 7 ulisoma Mlandege 0-0 Simba. Mchezaji bora alichaguliwa kuwa ni Hassan Abdallah na alipewa zawadi na NIC ya shilingi laki tano ameweka wazi kuwa walijipanga kushinda ila ilikuwa tofauti kutokana na uimara wa…