MESSI AMPOTEZA TENA CRISTIANO RONALDO TUZO ZA BALLON D’OR
WAKATI Lionel Messi staa anayekipiga ndani ya PSG akitwaa tuzo yake ya Ballon d’Or ya 7 kwa upande wa Wanawake ni Alexia Putellas ametwaa tuzo hiyo. Alexia ni nahodha wa Klabu ya Barcelona upande wa Wanawake ambapo amesema kuwa katika hilo anajiskia furaha kubwa sana. Messi amempiku kwa mara nyingine tena mshikaji wake wa karibu,…