SIMBA WATUA DAR, HESABU NI DHIDI YA YANGA KWA MKAPA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa, Simba tayari kwa sasa wapo kwenye ardhi ya Tanzania iliyotawala amani na upendo baada ya kumaliza kazi iliyowapeleka nchini Zambia. Simba ilikuwa na kibarua Desemba 5 nchini Zambia kwenye Uwanja wa Heroes dhidi ya Red Arrows ambapo waliweza kukamilisha dakika 90 kwa kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 ambapo…