
TFF YAMFUNGIA MIAKA MITANO MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHA DRFA
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia miaka mitano kujihusisha na mpira wa miguu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salam (DRFA), Yusuph Kaiwanga. Katika uamuzi wake, Kamati imesema baada ya kupitia ushahidi wa nyaraka na maelezo ya shahidi imejiridhisha pasi…