KIUNGO NUNES APIGIWA HESABU CHELSEA

KLABU ya Chelsea inajiandaa kutuma ofa ya kuinasa saini ya kinda wa Ureno anayekipiga katika Klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Matheus Nunes mwenye umri wa miaka 23 anayecheza nafasi ya kiungo mshambuliaji. Inakadiriwa Chelsea wanajiandaa kutuma ofa ya paundi milioni 45 ikiwa na nyongeza ya paundi milioni 5 ambayo itatokana na vipengele vya mkataba….

Read More

FT: SIMBA YAWATUNGUA RS BERKANE KWA MKAPA

UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 1-0 RS Berkane katika mchezo wa Kombe ma Shirikisho uliochezwa leo Machi 13. Ni mchezo ambao ulimalizwa na Simba kipindi cha kwanza kwa bao pekee la ushindi la Pape Sakho dakika ya 44. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa awali uliochezwa Morocco,  Berkane ilishinda kwa mabao 2-0. Florent Ibenge…

Read More

FULL MKOKO WA GAMONDI KUSAKA POINTI TATU ZA GEITA

MIGUE Gamondi kwenye mchezo wa leo dhidi ya Geita Gold ameanzisha kikosi kazi kamili kusaka pointi tatu mbele ya Geita Gold. Kwenye mchezo wa nne, ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma Ihefu 2-1 Yanga ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kupoteza msimu wa 2023/24. Kulikuwa na mabadiliko kikosi cha kwanza ambapo wachezaji waliopewa…

Read More

POLISI TANZANIA INASHUSHA WAPYA KWA KASI

IKIWA kwenye maboresho ya kikosi chao kwa msimu wa 2022/23 Klabu ya Polisi Tanzania imemalizana na kiungo wa kimataifa Ambroes Awio raia wa Ugada pamoja na mzawa Khamis Kanduru. Wote wawili  wamesaini  mkataba wa miaka miwili hivyo kwa msimu ujao watakuwa ndani ya kikosi hicho ambacho kimeweka kambi Dar. Msimu uliopita Awio alikuwa ndani ya…

Read More

HAJI MANARA:TUKAE WIKI TANGA TUFUNGWE?

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa isingekuwa rahisi kwa Yanga kufungwa kwenye mchezo wao wa jana kwa kuwa walijipanga kushinda na walitumia muda mwingi wakiwa Tanga. Januari 16 ubao wa Uwanja wa Mkwakwani ulisoma Coastal Union 0-2 Yanga na kuwafanua waweze kusepa na pointi tatu mazima ambapo mabao yalifungwa na Said Ntibanzokiza…

Read More

YANGA KUJA NA JAMBO HILI KUBWA

JAMBO lingine kubwa linakuja kutoka kwa Yanga mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 wakidhaminiwa na kampuni ya SportPesa. Jambo hilo ni uzinduzi wa kitabu cha Yanga kinachotarajiwa kuzinduliwa Jumamosi Juni 15 uongozi wa Yanga umebainisha kwamba umekusanya mengi ya muhimu bila kuacha chochote. Ipo wazi kwamba kwa msimu wa 2023/24 Yanga imetwaa taji…

Read More

MABEKI YANGA KUMKAZIA MOSES PHIRI KWA MKAPA

MABEKI wa Yanga wameweka wazi kuwa hawatakubali kufanya makosa na kuwaruhusu washambuliaji wa Simba wakiongozwa na Moses Phiri kupata nafasi ya kuwafunga. Simba kwa sasa wanatamba na ubora wa mshambuliaji wao Moses Phiri ambaye ameifungia timu hiyo mabao 4 katika michezo 5 ya ligi kuu msimu huu, jambo ambalo ni tishio kuelekea mchezo wa leo…

Read More

TABORA UNITED NGUVU ZAO NI FA SASA

UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa kwa sasa wameanza maandalizi kuelekea mchezo wao wa Azam Sports Federation dhidi ya Nyamongo kutoka Musoma. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita katika Ligi Kuu Bara uliochezwa Februari 19 ubao ulisoma Tabora United 0-0 Azam FC wakagawana pointi mojamoja. Pointi moja kwa Azam FC imewapa jumla ya pointi 36…

Read More