DAKIKA 90, KMC 1-4 SIMBA
SIMBA watakula Christmas wakiwa na pointi zao tatu kibindoni baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC. Mchezo wa leo ulikuwa na ushindani mkubwa na mashabiki wengi walijitokeza Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kushuhudia mchezo huo. Simba waliweza kupachika mabao yao kupitia kwa Mohamed Hussein dk 10,Joash Onyango dk 13 na Kibu Dennis alipachika…