VIDEO:SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA MORRISON,MASHABIKI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa suala la mchezaji wao Bernard Morrison ambaye amepewa mapumziko na mabosi hao kutokana na matatizo ya kifamilia lipo wazi kwa timu ambayo inamuhitaji ni lazima utaratibu ufuate.