
AKILI ZA SIMBA SASA NI KWENYE LIGI
KATIKA kuhakikisha wanautetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba wametamba kurejesha makali yao ya Kombe la Shirikisho Afrika katika Ligi Kuu Bara. Kwenye ligi vinara ni Yanga wakiwa na pointi 48 baada ya kucheza mechi 18 msimu wa 2021/22. Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na pointi 37 na imecheza mechi 17. Meneja…