
URENO WAPIGA 3-1 TURKEY, MECHI YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
URENO imefuzu kucheza mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Turkey. Mabao ya Otavio Edmilson da Silva Monteiro dk 15,Diogo Jota dk 42 na Mathew’s Nunes dk 90+4. Bao la Burak YiLmaz dk 65 lilikuwa ni la kufutia machozi kwa Turkey Uwanja wa do Dragao. Mchezo wa…