


WAWEKEZAJI WAWEKEWE MAZINGIRA MAZURI, WAKIONDOKA ITAKUWA AIBU KWETU
WAKATI kukiwa na ongezeko la bei ya mafuta katika nchi nyingi Tanzania ikiwamo, huenda mitandao ya usafirishaji kama Uber, Bolt, Taxify na mingine, ikawa mkombozi zaidi kwa watumiaji wa teksi, bajaji na pikipiki maarufu (bodaboda) mijini. Hii ni kwa kuwa tangu sekta hii ianze kutoa huduma zake katika miaka ya hivi karibuni, licha ya…

COURTOIS AANZA KUJISHTUKIA KUZOMEWA CHELSEA
NI kama ameanza kujishtukia vile. Thibaut Courtois anatarajiwa kurudi kwenye uwanja wake wa zamani wa Stamford Bridge leo Jumatano katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, na kipa huyo Mbelgiji wa Real Madrid amesema: “Natumaini kwamba (mashabiki Chelsea) hawatanizomea.” Real Madrid itatarajia kulipiza kisasi cha kufungwa katika nusu fainali ya michuano hiyo…

PAMBANO LA DILLIAN WHYTE NA FURRY LIMEKUFA
PAMBANO la bondia Dillian Whyte na Tyson Fury limekufa rasmi, Whyte hatocheza tena pambano lake la ubingwa wa dunia uzito wa juu dhidi ya Fury Aprili 23, mwaka huu, baada ya kupata jeraha la bega wakati akijiandaa na pambano hilo. Mapromota wa pambano hilo, Frank Warren na Bob Arum, wamethibitisha kuwa, Fury ambaye ni bingwa…

SIMBA KAZINI LEO MBELE YA COASTAL UNION,MKWAKWANI
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba leo Aprili 7 anatarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union. Pablo amesema kuwa anadhani ni moja ya mchezo utakaokuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote kuhitaji kupata pointi tatu muhimu. ”Ninajua kwamba kila mmoja anahitaji kuona kwamba namna gani tunaweza kupata ushindi kwani…

YANGA YAICHAPA KWA MARA NYINGINE AZAM FC KWAO
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameituliza kwa mara nyingine tena Azam FC baada ya kuwatungua mabao 2-1 kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Azam FC ni wao walianza kupata bao la kuongoza kupitia kwa Rodgers Kola ilikuwa dk ya 10 liliwekwa usawa na Djuma Shaban kwa mkwaju wa penalti dk…

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi

AZAM FC YACHAPWA 2-1 YANGA
UWANJA wa Azam Complex, dakika 90 za zimekamilika na Yanga inasepa na pointi tatu muhimu ikiwa ugenini. Vinara hao wa ligi wanafikisha pointi 51 wamepindua meza kibabe baada ya kuanza wakiwa wanadaiwa bao moja kisha wakalipa na kuogeza bao lingine la ushindi. Azam FC wanapaswa wajiliamumu wenyewe kwa kuwa walikosa nafasi za wazi tatu za…


KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA AZAM FC
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo Aprili 6 Uwanja wa Azam Complex dhidi ya Azam FC. Ngoma inapigwa saa 2:15, tayari kikosi cha Yanga kimewasili Uwanja wa Azam Complex na wachezaji walipita mlango ule wa mashabiki

SPORTPESA BET BONANZA TSH 15,888,000 KUTOKA
WASHINDI watatu Shaaban Mwita wa Mgusu (Geita), Abdalla Said Ali wa Tandahimba (Mtwara) na David Jonas wa Magu (Mwanza), leo asubuhi wameibuka washindi wa vitita vya shilingi milioni moja moja kila mmoja katika droo ya nne ya wiki ya Bet Bonanza ya SportPesa. Droo hii ni sehemu ya promosheni ya Bet Bonanza ya SportPesa, na…

AZAM V YANGA,ACHA INYESHE IJULIKANE PANAPOVUJA
MFUMO ni uleule wa kusaka ushindi kwa timu zitakazoshuka uwanjani na hii ya leo ni Dabi ya Dar es Salaam itakayopigwa Uwanja wa Azam Complex saa 2:15 usiku. Unaambiwa acha inyeshe tuone panapovuja baada ya dakika 90 itafahamika nani ni nani kati ya Azam FC v Yanga. Timu zote zina wakali wa kucheka na nyavu…

ISHU YA MORRISON KUPIGWA ‘STOP’ AFRIKA KUSINI SIMBA WATOA NENO
TAARIFA zilizothibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Soka ya Simba Barbara Gonzalez ni kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Bernard Morrison hawezi kuingia ndani ya ardhi ya Afrika Kusini kutokana na kuwa na kizuizi cha kuingia nchini humo. Morrison kabla ya kujiunga na vilabu vya Yanga na Simba tayari alishawahi kufanya kazi nchini Afrika…

LEO NI LEO ITAFAHAMIKA UWANJA WA AZAM COMPLEX
ZOTE mbili ni za moto kwa sasa kwa kuwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita na kujiwekea pointi tatu kibindoni. Ni Azam FC iliyotoka kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Ilulu na Yanga iliyotoka kushinda mabao 2-0 dhidi ya KMC Leo wana kazi ya kusaka pointi tatu muhimu kwenye…

PABLO ATWAA TUZO KWA MARA YA KWANZA
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ametwaa tuzo ya Kocha Bora ndani ya Ligi Kuu kwa mara ya kwanza baada ya kupewa dili na Simba akichukua mikoba ya Didier Gomes. Kwa mujibu wa Kikao cha Kamati ya Tuzo ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kilichokaa hivi karibuni kimetoa mapendekezo ya jina la Pablo wa Simba. Ametwaa…

CHAMA ATWAA TUZO MBELE YA FISTON MAYELE
CLATOUS Chama kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Simba amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Machi. Kwa mujibu wa Kikao cha Kamati ya Tuzo ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kilichokutana mwanzo mwa juma hili kimetoa mapendekezo hayo. Chama ameweza kutimiza majukumu yake vema katika mechi mbili ambazo aliweza kufunga mabao mawili na Simba ikaweza kusepa…

MUGALU,BERNARD MORRISON KIMATAIFA NI HABARI NYINGINE
NYOTA wawili wa Simba, Bernard Morrison na Chris Mugalu kwenye mashindano ya kimataifa ni habari nyingine kwa kuwa wameweza kufanya maajabu kwenye mechi ngumu kwa kushirikiana na wachezaji wengine. Morrison kwenye mashindano ya kimataifa kuanzia hatua ya mtoano ametumia dk 290 katupia mabao matatu na pasi mbili za mabao. Chris Mugalu yeye amecheza mechi tatu…