
HESABU ZA YANGA KWA KMC ZIPO NAMNA HII
NJE ya uwanja, tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi amewamaliza wapinzani wake, KMC wenye maskani yao Kinondoni, Dar es Salaam. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana kesho Jumamosi saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara raundi ya 18. Katika mchezo huo, Yanga itaingia uwanjani ikitaka kuendeleza rekodi…