Home Sports VIDEO:CHAMA,BANGALA,AUCHO KUCHEZA MECHI MOJA JUNI

VIDEO:CHAMA,BANGALA,AUCHO KUCHEZA MECHI MOJA JUNI

CEDRICK Mkurugenzi wa Taasisi ya Voice Of Changes Tanzania ambayo ni Taasisi isiyo ya Kiserikali inayoleta fikira chanya imebainisha kwamba kuna mpango ulioandaliwa kwa muda kwa kushirikiana na Chama cha Mpira Dar, (DRFA) wameandaa mchezo maalumu ambao utawakutanisha wachezaji wa kigeni dhidi ya wale wa ndani Uwanja wa Mkapa mara baada ya ligi kumalizika na lengo ni kutangaza utalii wa ndani.

Previous articleMWAKA MMOJA WA KIFO CHA MAGUFULI KUKUMBUKWA KWA VITENDO
Next articleLIVERPOOL YAICHAPA ARSENAL 2-0, YAISOGELEA MANCHESTER CITY