
AUBA MWENDO WA REKODI TU
STAA wa Klabu ya Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amezidi kuwa moto ndani ya maisha yake mapya ambayo ameyeanza kuishi kwa sasa. Jumapili nyota huyo alikuwa mchezaji aliyefanya vizuri kwenye El Clasico wakati Barcelona iliposhinda mabao 4-0 dhidi ya Real Madrid wakiwa ugenini. Alifunga mabao mawili na kutoa pasi moja jambo ambalo ni kubwa kwake tangu alipojiunga…