SIMBA WAKWEA PIPA KUWAFUATA ASEC

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba leo Machi 18 wamekwea pipa kuwafuata wapinzani wao RS Berkane kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho. Ni leo alfajiri kimeanza safari kwa ajili ya kwenda Benin kuikabili ASEC Mimosas ikiwa ni mchezo wa marudiano ambao unatarajiwa kuchezwa Jumapili, Machi 20,2022. Simba itafikia Hotel ya…

Read More

BURUDANI YA WIKIENDI IPO KWENYE LALIGA, NYASI ZITAUMIA!

Msimu wa 2021/22 unaendelea kushika kasi. Wikiendi hii ni EPL, LaLiga, Ligue 1, FA Cup na Copa Diego Maradona kutimua vumbi viwanjani. Hakika, zinazopata kashkash ni nyasi, Meridianbet tunakupa mipango tu… Wolverhampton Wanderers watakua uwanjani kuwaalika Leeds United katika muendeleazo wa EPL ijumaa hii. Kimahesabu, huu ndio ule wakati wakusema “kila mtu ashinde mechi zake”…

Read More

SIMBA KUKWEA PIA KUWAFUATA WAPINZANI WAO ASEC

IMEELEZWA kuwa kesho Ijumaa wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba wanatarajia kukwea pipa kueleka nchini Benini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumapili ya Machi 20,2022 ukiwa ni mchezo wa tano kwenye hatua ya makundi na unatarajiwa kuchezwa nchini Benin. Kwenye…

Read More

VIDEO:CHAMA,BANGALA,AUCHO KUCHEZA MECHI MOJA JUNI

CEDRICK Mkurugenzi wa Taasisi ya Voice Of Changes Tanzania ambayo ni Taasisi isiyo ya Kiserikali inayoleta fikira chanya imebainisha kwamba kuna mpango ulioandaliwa kwa muda kwa kushirikiana na Chama cha Mpira Dar, (DRFA) wameandaa mchezo maalumu ambao utawakutanisha wachezaji wa kigeni dhidi ya wale wa ndani Uwanja wa Mkapa mara baada ya ligi kumalizika na…

Read More

CHEKI KIKOSI BORA CHA USAJILI BONGO KILIBAMBA

UNAKUMBUKA dirisha dogo la usajili ambalo lilifungwa rasmi Januari 15, mwaka huu. Majina kama Chiko Ushindi na Clatous Chama yaliimbwa kweli. Baada ya tambo za usajili kumalizika kwa sasa tayari idadi kubwa ya majembe hayo mapya yameanza kupiga kazi katika vituo vyao vipya vya kazi, ambapo wapo walioanza kuuwasha moto huku wengine wakiwa wanaendelea kusubiri…

Read More

BAO LA SAKHO LACHAGULIWA KUWA BAO BORA LA WIKI

PAPE Sakho kiungo mshambuliaji wa Simba bao alilowatungua RS Berkane limechaguliwa kuwa bao bora la wiki katika mashindano ya Kombe la Shirikisho. Pape alipachika bao hilo Uwanja wa Mkapa, Machi 13 wakati Simba ikivuna pointi tatu mazima. Ilikuwa dakika ya 44 Sakho alifanya hivyo baada ya kupokea pasi kutoka kwa Meddie Kagere. Kabla ya kufunga…

Read More

AZAM FC YAICHAPA NAMUNGO 2-1,DUBE ATUPIA

AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo unemalizwa ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza baada ya mabao matatu kufungwa. Namungo FC walianza kutupia bao la kuongoza dakika ya 2 kupitia kwa Mohamed Issa likasawazishwa na Prince Dube dk ya 22….

Read More

YANGA YAKUSANYA MILIONI 41

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kupitia mchezo wa Hisani kati ya Yanga v Timu ya Taifa ya Somalia ni milioni 41 zimekusanywa. Yanga ilicheza mchezo wa kirafiki wa hisani ilikuwa dhidi ya Timu ya Taifa ya Somalia ulichezwa Uwanja wa Azam Complex. Manara amesema:”Mchezo uliochezwa Jumamosi iliyopita kwa ajili ya kuchangia taasisi…

Read More

PRISONS:BADO TUNATENGENEZA TIMU

SHABAN Kazumba, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons amesema kuwa bado wanatengeneza timu hivyo wana imani ya kuweza kufanya vizuri kwenye mechi zao zilizobaki. Ikiwa Uwanja wa Karume, Mara Machi 15,2022 ilikubali kushuhudia ubao ukisoma Biashara United 2-1 Tanzania Prisons. Ni mabao ya Deogratius Mafie kwa upande wa Biashara United yalipachikwa kimiani dakika ya 26 na…

Read More