MOTO ULIVURUGA MAMBO AJAX V FEYENOORD

ILITOKEA hali ambayo ilisababisha mchezo kati ya Ajax v Feyenoord kuchelewa kuanza kwa muda kutokana na tukio la moto kutokea upande mmoja katibu na lango la timu moja. Ajax ilipoteza katika mchezo huo uliochezwa Jumapili katika Uwanja wa Johan Cruyff Arena. Baada ya mchezo huo kuanza na kuchezwa ubao ulisoma Ajax 3-2 Feyenoord na ni…

Read More

DUBE AMPIGA MKWARA MAYELE

STRAIKA wa Azam FC, Prince Dube, amesema kwa sasa anahitaji kufunga mfululizo ili kuisaidia timu yake kumaliza ligi kwenye nafasi nzuri na kuwania Tuzo ya Ufungaji Bora msimu huu. Dube aliyasema hayo baada ya kufanikiwa kufunga bao lake la kwanza msimu huu wakati Azam FC ikiibuka na ushindi wa mabao 1-2 dhidi ya Namungo kwenye…

Read More

MORRISON:TUNAFUZU,TUNAJIAMINI

BERNARD Morrison, kiungo wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco amesema kuwa wanaamini kwamba watafuzu hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho. Kichapo cha mabao 3-0 mbele ya ASEC Mimosas jana Machi 20,2022 kiliyeyusha matumaini ya Simba kutangulia katika hatua ya robo fainali hivyo wana kazi ya kufanya Uwanja wa Mkapa. “Tunajiamini, tunajiamini na…

Read More

YANGA WATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA KISA KICHAPO

BAADA ya wawakilishi wa kimataifa katika Kombe la Shirikisho, Simba kufungwa 3-0 dhidi ya ASEC Mimosas watani zao wa jadi Yanga wametupa jiwe gizani kimyakimya. Kupitia Insta yao waliachia picha ya Djuma Shaban akiwa mwenye kicheko na kuuliza..wawakilishi wa nini..au basi… Haji Manara Ofisa Habari wa Yanga aliweza kudondosha maoni yake kwa kuandika labda wawakilishi…

Read More

BARCELONA YAICHAPA MABAO 4-0 REAL MADRID

WAKIWA Uwanja wa Santiago Bernabeu wameshuhudia ubao ukisoma Real Madrid 0-4 Barcelona. Pierre Aubameyang alitupua 2 dk 29 na 51,Ronald Araujo dk 38 na Ferran Torres dk 47. Mchezo huo wa El Clasico umiliki ulikuwa ni mali ya Barcelona ambao walikuwa na asilimia 60 huku Real Madrid wao ikiwa ni 40. Ushindi huo unaifanya Barcelona…

Read More

SAIDO KUIWAHI AZAM FC

SAID Ntibanzokiza kiungo wa Yanga ambaye alikuwa nje kwa muda kutokana na kutibu majeraha yake anatarajiwa kurejea kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 6 utakuwa ni wa mzunguko wa pili Uwanja wa Mkapa. Kiungo huyo aliumia kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar na alikuwa na jambo…

Read More

SALAH AINGIA ANGA ZA PSG NA BARCELONA

MOHAMED Salah mshambuliaji wa Liverpool anatajwa kuingia katika rada za PSG na Barcelona ambazo zinahitaji saini yake. Mkataba wake ndani ya Liverpool kwa sasa una uhai wa miezi 18 na unatarajiwa kumeguka 2023. Mpaka sasa hakujawa na taarifa yoyote kutoka Liverpool ambao walikaa naye mara ya mwisho Desemva mwaka jana kuhusu kuboresha mkataba wake. Staa…

Read More

SIMBA YAPOTEZA KIMATAIFA BAO 3-0 YACHAPWA

UGENINI Simba imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 huku mabao yakipachikwa na Aubin Kramo Kouame dk 16,Stephane Aziz dk 23 na Karim Konate dk 57. Licha ya Air Manula kuokoa penalti mbili bado kazi ilikuwa ngumu kwa washambuliaji kuweza kucheka na nyavu. Katika kundi D sasa pointi inashushwa kutoka nafasi ya kwanza mpaka nafasi ya tatu…

Read More

MAPUMZIKO:ASEC MIMOSAS 2-0SIMBA

UBAO unasoma ASEC Mimosas 2-0 Simba na utulivu kwa Simba tatizo dk 14 za mwanzo walitengeneza nafasi nne zote wakakosa na ni shuti moja la Meddie Kagere lililenga lango dk ya 27. Aubin Kramo Kouame dk 16 na Stephane Aziz wamemtungua Manula ambaye aliokoa penalti dk ya 36. Simba ina kazi kubwa ya kuweza kusaka…

Read More

SIMBA KAZINI LEO KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho wakiwa hatua ya makundi Simba wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ASEC Mimosas. Huu ni mchezo wa tano kwa Simba wakiwa na pointi 7 kibindoni baada ya kucheza mechi 4 na wapinzani wao ASEC Mimosas wapo nafasi ya pili na pointi 6. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza…

Read More

YANGA YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA KMC

MSAKO wa pointi tatu umekamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 2-0 KMC. Mabao ya Andrew Vincent aliyejifunga dk 39 na Djuma Shaban dk 51. KMC walikosa utulivu hali iliyofanya wakose nafasi walizotengeneza na ni kadi 5 za njano wameonyeshwa. Yanga inafikisha pointi 48. KMC inakwama kupata pointi mbele ya Yanga msimu huu…

Read More

MAPUMZIKO:YANGA 1-0KMC, UWANJA WA MKAPA

NI moja ya mchezo bora wa Ligi Kuu Bara ndani ya Machi 19,2022 ikiwa ni mapumziko ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 1-0 KMC. Bao la kujifunga la Dante dk 39 katika harakati za kuokoa mpira uliopigwa na Fiston Mayele. Yanga wamenyimwa penalti dk 16 na KMC wamenyimwa kona dk 44. Kasi ya KMC…

Read More