
VIDEO:KMC WATAJA SABABU ZA KUFUNGWA,KUJIPANGA KWA MECHI ZIJAZO
HITIMANA Thiery,Kocha Mkuu wa MC amesema kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walizipata mbele ya Azam FC jambo ambalo limewafanya wapoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo watajipanga kwa ajili ya mechi zijazo kupata matokeo.