
SIMBA WALIJIPA UGUMU KIMATAIFA NAMNA HII KIMATAIFA
LICHA ya Simba kuwa na umiliki mzuri kwa rekodi kuonyeshwa kwamba walikuwa na asilimia 55 huku wapinzani wao ASEC Mimosas wakiwa na asilimia 45 bado haikuwapa pointi tatu mazima. Kichapo cha mabao 3-0 kiliwapotezea ramani ya kuwa na uhakikwa wa kutinga hatua ya robo fainali kwenye Kombe la Shirikisho kwa kuwa awali walikuwa wanaongoza kundi…