KOCHA STARS:TUNA TIMU NZURI

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Kim Poulsen, amesema kuwa Watanzania wanatakiwa kuelewa kuwa wana timu bora sana ya taifa kwa sasa na wanatakiwa kuwa na imani nayo na kutoa sapoti kubwa. Kim ameyasema hayo baada ya Stars kuibuka na ushindi mbele ya Afrika ya Kati wa mabao 3-1 kwenye mchezo wa…

Read More

YANGA KILA KONA WAMEIBANA SIMBA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamewabana kotekote mabingwa watetezi wa ligi na Kombe la Shirikisho, Simba kwa kuwa wazi kwamba wanahitaji kushinda kila sehemu. Kwenye Kombe la Shirikisho, Yanga imetinga hatua ya robo fainali na inatarajiwa kumenyana na Geita Gold na kwenye ligi, Yanga ni namba moja ikiwa na pointi 48 baada ya…

Read More

KOCHA ITALIA HAJAFURAHISHWA NA MATOKEO MABAYA

ROBERTO Mancini, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Italia amesema kuwa hajafurahishwa  na kutolewa katika hatua hiyo. Usiku wa kuamikia leo Timu ya Taifa ya Italia ilifungwa bao 1-0 dhidi ya North Macedonia. Bao pekee la ushindi lilipachikwa kimiani na Aleksandar Trajkovski dk 90+2 Uwanja wa Renzo Barbera. Sasa North Macedonia itacheza mchezo dhidi…

Read More

SIMBA YASAKA ATAKAYEMPA CHANGAMOTO TSHABALALA

MEFAHAMIKA kuwa Simba imeanza kumnyemelea beki katili wa kushoto anayekipiga ASEC Mimosas, Wonlo Coulibaly raia wa Ivory Coast. Nyota huyo ambaye alicheza kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar ukiwa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba na kuchapwa mabao 3-1, inadaiwa amewavutia mabosi wa Msimbazi hivyo wanataka kufanya jambo. Beki huyo mwenye miaka 30, aliwahi kucheza TP Mazembe ya…

Read More

NEYMAR ANAVUTA MKWANJA MESSI

TAARIFA ya orodha ya wachezaji wanaoingiza mshahara mrefu kwenye Ligue 1 imetoka, huku mchezaji nyota zaidi kwenye ligi hiyo, Lionel Messi anayekipiga PSG akishika namba mbili kwa kuingiza kitita cha Euro milioni 3.3 (sawa na Sh bilioni 8.5) kwa mwezi. Takwimu hizo zilizotolewa na gazeti la L’Équipe zinaonesha kuwa sasa mchezaji huyo raia wa Argentina…

Read More

TWAHA KIDUKU NA KABANGU MIKWARA YATAWALA

MABONDIA Twaha Kiduku na Alex Kabangu leo wamekutana kwa mara kwanza na kila mmoja kumchimba mkwara mwenzake kuelekea katika pambano la ubingwa wa UBO Afrika linalotarajia kupigwa keshokutwa Jumamosi mkoani hapa. Kiduku na Kabangu watapanda ulingoni katika pambano hilo ambalo litachezwa kwa raundi nane katika uzito wa kati ambalo litapigwa kwenye Ukumbi wa Tanzania chini…

Read More

WAWA AFUNGUKIA KUHUSU UBINGWA

BEKI wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, amewataka mashabiki wa timu hiyo kupunguza presha ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara licha ya Yanga kuongoza ligi kwa pointi nyingi kwa kuwa bado ubingwa upo wazi, hauna mwenyewe. Wawa ametoa kauli hiyo Yanga ikiwa inaongoza ligi kwa pointi 48 ikifuatiwa na Simba wenye pointi 37,…

Read More

MASHINDANO YA GOFI EUROPE TOUR KUFANYIKA KILIMANJARO

SERIKALI kwa kushirikiana na Chama cha mchezo wa Gofu Tanzania (TGU), kimethibitisha kuwa wenyeji wa mashindano ya Gofu Europe Tour yatakayofanyika Aprili 7 hadi 10 mwaka huu katika viwanja vya Kilimanjaro Jijini Arusha. Mashindano hayo yana lengo la kuunga mkono wa juhudi ya serikali chini ya Rais, Samia Suluhu Hassan kuendeleza utalii nchini.  Mwenyekiti wa…

Read More

FISTON MAYELE ATAJA SABABU ZA KUFUNGA MABAO 10

FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa ya kuweza kufunga mabao 10 ndani ya ligi ni kutimiza majukumu yake pamoja na kufanya kile anachokifanya mazoezini. Msimu wa 2021/22 Mayele amecheza mechi 18 na kufunga mabao 10 kati ya 31 ambayo yamefungwa na timu hiyo na ametoa pasi 3 za mabao. Mayele amesema kuwa…

Read More