
PAMBANO LA DILLIAN WHYTE NA FURRY LIMEKUFA
PAMBANO la bondia Dillian Whyte na Tyson Fury limekufa rasmi, Whyte hatocheza tena pambano lake la ubingwa wa dunia uzito wa juu dhidi ya Fury Aprili 23, mwaka huu, baada ya kupata jeraha la bega wakati akijiandaa na pambano hilo. Mapromota wa pambano hilo, Frank Warren na Bob Arum, wamethibitisha kuwa, Fury ambaye ni bingwa…